Category Students

Kutana na Badria Mohammed

Inasikitisha sana Kukosa kazi kisa GPA kubwa Huyu ni Badria Mohamed Baada ya kuhitimu Bachelor in IT Pale Unique Academy Posta Mwaka 2019 na GPA ya 4.0 Alienda kuomba kazi shirika moja Nalihifandhi kwa jina Alikuwa na connection yake hapo…