Kutana na Badria Mohammed

Inasikitisha sana Kukosa kazi kisa GPA kubwa Huyu ni Badria Mohamed Baada ya kuhitimu Bachelor in IT Pale Unique Academy Posta Mwaka 2019 na GPA ya 4.0 Alienda kuomba kazi shirika moja Nalihifandhi kwa jina Alikuwa na connection yake hapo Mwanafunzi wa Diploma Akapata kazi, yeye akakosa Kuuliza connection yake vipi tena Mbona nimekosa kazi Akaambiwa GPA yako kubwa Ungewasumbua wenye kazi Basi akapiga moyo konde Siku moja aliona tangazo Kwenye page ya TASSAA ya twitter, Akasema cha kufia nini Ngoja nijaribu bahati Juzi jumamosi tulikuwa naye airport Muda huu na tweet yupo Dubai tyr Soon atapata part time job Nakuanza kupokea maokoto yake.

Share the Post:

Related Posts

Join Our Newsletter

+ 255 747 173 931

© 2024 TASSAA STUDY ABROAD.